Rapper nay wamitego amesema ameamua kwenda kimataifa zaidi na kufanya kazi na wasanii wawili toka nje.
nay amesema amepokea maoni mengi juu ya kuupandisha mziki wake thamani huku watu wengi wakimshauri kufanya video na Godfather wa afrika kusini.
Nay amesema mwaka huu ameanza kupandisha bei za show zake sababu zilizo pelekea ni kufanya vizuri kwa nyimbo yake ya akadumba na kusema kama anafanya mziki mzuri kwanini nayeye asiwe mkubwa.