Kama unamfatilia vizuri msanii Mad Ice tangu aanza kazi zake za mziki tangu enzi za Wange na zinginezo, utagundua kuwa colabo zake ni za kushesabika, kama unakumbuka ni kama mbili hivi, remix aliyofanya na Hadmard na ile aliyofanya na Jay Dee Nishike Mkoni.
Wiki iliyopita Mad Ice aliachia video ya wimbo wake mpya "Everithing I
Do, ambayo kaifanya mwenyewe bila kumshirikisha mtu, na akatoa sababu za
yeye kushindwa kufanya collabo na wasanii wa Bongo.