Kupita accout yake ya facebook Sparrow Wa Kisparrow ameweka wazi uzuri wa Ngoma yake mpya itakayotoka wiki ijayo
"Nimesikiliza na nimemaliza kusikiliza now sasa ni tym yako ww kusikiliza huu wmbo mpya Kisparrow sparrow Jtatu mzgo utakua masikion mwako
wait..... VITU FLAN AMAZING VINAKUJA..."
(source the capital city)