Binafsi ameshangaa baaada ya kusikia kuwa Diamond ametoa wimbo mpya aliourekodi kwa producer Tuddy Thomas.
‘Ni Kweli
wimbo umevuja ila sio official yenu sisi hatuwezi kuchukua uamuzi wowote
ila tutaufanyia mastering na tuta u realese kama official na wala
hatuwezi kumlaumu producer Tuddy Thomas’– alisema Babu Tale.