Tangu jana usiku kuna picha ilikua inasambaa ikimwonyesha Msanii PNC akiwa amempigia magoti boss wake wa zamani Ostaz Juma na musoma, akiwa anamwuomba msamaha, huku Ostaz anaonekana akiwa amekalia kochi huku amekunja nne, picha imekua gumzo, wengi wakidai kuwa kitendo cha picha hizo kupigwa na kusambazwa hasa Ostaz mwenye kuipost picha hiyo kwenye mtandao wa Instagram ni kumdhalilisha msanii huyo
MSIKILIZE HAPA CHINI OSTAZ JUMA AKIFUNGUKA...