'Yuster Nyakachara'
DADA huyu muigizaji wa filamu hapa nchini ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya filamu inayotambulika kwa jina la EAGLE INTERTAINMENT, Leo amezungumzia baadhi ya vitu anavyopenda kuvifanya akiwa nyumbani Cheki hapa.
(1) Kucheza na mbwa wangu nyumbani.
(2) Kutazama Movie za nje na ndani ya
nchi ili kujua nini kinafanyika katika tasnia ya filamu duniani kote kwa kipindi hiki.
nchi ili kujua nini kinafanyika katika tasnia ya filamu duniani kote kwa kipindi hiki.
(3)Kumsaidia
mfanyakazi wangu wa ndani kupika maana mimi kama mama wa nyumba lazima
nijisughulishe na vijikazi vidogovidogo vya nyumbani.
(4) Kujisomea vitabu vya hadithi ili kuchangamsha akili yangu isilale.
(5)Kuwapigia simu marafiki zangu walioko nje ya bara la Africa ili kubadilishana mawazo.

HAPA yuster akiwa katika pozzzzz pembeni yake mbwa wake kapozzz www.ngelangelanews.blogspot.comkimtindo..!!!

HAPA yuster akiwa katika pozzzzz pembeni yake mbwa wake kapozzz www.ngelangelanews.blogspot.comkimtindo..!!!

Written by- Masai Nyotambofu