Mtangazaji
wa BBC TV, Komla Dumor amefariki dunia ghafla jana akiwa nyumbani kwake mjini
London, Uingereza.Alikuwa na umri wa miaka 41.
Komla-Dumor
Dumor
aliyezaliwa nchini Ghana alikuwa mtangazaji wa BBC World News na aliendesha
kipindi cha Focus on Africa.
Mtangazaji
hwww.ngelangelanews.blogspot.comuyo alijiunga na BBC kama mtangazaji wa radio mwaka 2007 baada ya kufanya kazi
ya uandishi wa habari kwa zaidi ya muongo mmoja nchini Ghana. Rais wa Ghana,
John Dramani Mahama aliandika kwenye mtandao wa Twitter kuwa nchi yake
imepoteza mmoja wa mabalozi wake muhimu.

Our nation has lost one of its finest
ambassadors. @BBCkomladumor was a broadcaster of exceptional quality and
Ghana's gift to the world.
— John Dramani Mahama (@JDMahama) January
18, 2014
Inadai kuwa
alifariki kwa mshtuko wa moyo.