![]() |
| maryam kitosi cheti na Meneja rasilimali watu baada ya kutangazwa Mtangazaji bora wa mwaka |
![]() |
| Timu ya kipindi cha Hatua Tatu(Dj Rguy, Maryam Kitosi, Edson Mkisi & Cliford Ndimbo),wakikikabidhiwa cheti cha 'Kipindi Bora cha Mwaka 2013' na 'Meneja Rasilimali Watu, Hellen Mnzava |
![]() |
| Hubby akichukua mfanyakazi bor wa vipindi na mfanyakazi bora kiujumla |
![]() |
| Dj wa kipindi cha Hatua Tatu Dj R guy akaibuka kuwa Dj bora wa mwaka |
![]() |
| Dereva bora wa mwaka anaitwa Hamis Msangi |
![]() |
| Tuzo ya mfanyakazi bora idara ya masoko ilienda kwa Dickson |
![]() | |||
| Mtumishi bora wa mwaka kwenye upande wa misosi jikoni na usafi B Hellen alikumbukwa pia kwa tuzo... |
![]() |
| Wapendanao..Dida na Ezden & Cliford na Maryam |
Baada ya hapo shangwe za kusherekea tuzo zikahamia Nyumbani lounge ambapo Anaconda Lady JayDee alikuwa anatumbuiza.
![]() |
| mum afrika, hubby na Dida The rocker |
![]() |
| Ezden The Rocker na Ndimbo |
![]() |
| Captain na Hubby |
![]() |
| Moko Biashara,Dida,Hubby na mamuu afrka |





















