DIAMOND PLUTNUM AZIDI KUTEMBELEA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA, LAKINI PIA ATOA RATIBA ATAKO ENDA WIKI HII NA KUTOA NAMBA ZA SIMU KWA WATAKAO ITAJI KWENDA NAE..... SOMA HAPA NA UTAZAME PICHA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, December 22, 2013

DIAMOND PLUTNUM AZIDI KUTEMBELEA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA, LAKINI PIA ATOA RATIBA ATAKO ENDA WIKI HII NA KUTOA NAMBA ZA SIMU KWA WATAKAO ITAJI KWENDA NAE..... SOMA HAPA NA UTAZAME PICHA


Jana nilipata fursa nyingine ya kushare chakula cha
mchana na ndugu zangu, Wadogo zangu walio
katika kituo cha Al_Madina kilichopo Tandale yemen...


kesho Jumanne ntakuwa kigogo
katika kituo cha #NewLife kilichopo kigogo je unataka
kuungana nami??? wasiliana na namba
hii +255654019091 #PamojaWeCan #ThanksGiving

HUU NI UJUMBE ALIO ANDIKA KWENYE MTANDAO WAKE.. 


Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages