KUMEKUCHA SERENGETI FIESTA 2013 KUFANYIKA LEO WASHIND WA TIKETI ZA BURE WAPATIKANA CHEKI SHUGHULI ILIVYOKUA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, October 26, 2013

KUMEKUCHA SERENGETI FIESTA 2013 KUFANYIKA LEO WASHIND WA TIKETI ZA BURE WAPATIKANA CHEKI SHUGHULI ILIVYOKUA


IMG_0185IMG_0159IMG_0147  
Pichani juu ni baadhi ya washindi wa tiketi za VIP wa Tamasha la Serengeti Fiesta wakipata picha ya Ukumbusho baada ya kuwasili kiwanja cha Dar Live jijini Dar es Salaam, ikiwa ni muendelezo wa washindi hawa kutembezwa maeneo anuai ya jiji na kampuni ya SBL inayowezesha Tamasha la Serengeti Fiesta 2013.www.ngelangelanews.blogspot.com
IMG_0166  
Baadhi ya washindi wa tiketi za VIP wa Tamasha la Serengeti Fiesta wakipata maakuli ndani ya ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam jana usiku, ikiwa ni muendelezo wa washindi hawa kutembezwa maeneo anuai na SBL.
IMG_0100  
Washehereshaji wa afla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya Bia ya Serengeti wakitoa matangazo kwa washindi wa tiketi za VIP wa Tamasha la Serengeti Fiesta baada ya kuwasili kiwanja cha Dar Live jijini Dar es Salaam jana usiku.
IMG_0089IMG_0064IMG_0063  
Baadhi ya washindi hao wa tiketi za VIP wa Tamasha la Serengeti Fiesta wakiendelea kula bata ndani ya kiwanja cha Dar Live jijini Dar es Salaam.
IMG_0053IMG_0044  
Burudani anuai zikiendelea kwa washindi wa tiketi za VIP wa Tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya Dar Live.
    IMG_0022IMG_0018IMG_0013  
Baadhi ya washindi ya hao wakiwa Dar Live jijini Dar es Salaam, ikiwa ni muendelezo wa washindi hawa kutembezwa maeneo anuai ya jiji na kampuni ya SBL inayowezesha Tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
IMG_0002  
Promosheni mbalimbali zikiinadi Bia ya Serengeti ziliendelea wa washindi hao na wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo. Hapa ilikuwa ni nunua bia tatu za Serengeti kisha upewe moja bureeeeee....! Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 linalodhaminiwa na SBL kupitia bia yake ya Serengeti linafanyika leo viwanja vya Leaders Club kuanzia saa 12 za jioni.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages