![]() |
Gavana akifungukawww.ngelangelanews.blogspot.com |
Dancers: Ndio mama!
Mrs. Orelope Adefilure: Kama ni lazima mtumbuize bila nguo ya ndani basi sio kwenye tamasha kama hiliI...hebu ona jinsi mnavyojiabisha na kudhalilika,msijaribu kufanya hivi tena!
Dancers: Sawa mama'' Hayo mazungumzo yalivyokuwa kati ya gavana na wanenguaji wa Iyanya.
Cheki picha za wanenguaji hao katika tamasha walilotumbuiza bila nguo ya ndani..
Sio Nigeria tu,hapa kwetu Tanzania hilo janga pia tunalo kuna hawa wanenguaji wanavaa kanga bila nguo ya ndani na kuilowesha maji wanajiita Kanga moko ndembendembe hivi umeshawahi kuona wanachofanya wakiwa jukwaani? huwa najiuliza kwa nini wanawake tunajidhalilisha kwa sababu ya pesa! Hebu tufikirie kuhusu tu wetu jamani.