MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA UNYWAJI MAZIWA MASHULENI ,KAMPUNI YA MAZIWA YA ASAS DAIRIES LTD YANYWESHA MAZIWA WANAFUNZI 30,000 IRINGA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, September 25, 2013

MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA UNYWAJI MAZIWA MASHULENI ,KAMPUNI YA MAZIWA YA ASAS DAIRIES LTD YANYWESHA MAZIWA WANAFUNZI 30,000 IRINGA


wanafunzi  wa shule  mbali mbali mjini Iringa  wakiwa katika foleni ya maziwa  leo uwanja  wa  Samora
Ni foleni  ya maziwa katika  uwanja  wa Samora  leo
Mgeni  rasmi  katika maadhimisho  hayo mkuu  wa wilaya ya Kilolo Bw Gelard Guninita kulia akiwa na mwalimu wa shule ya Msingi Hoho ambayo imepata  zawadi ya madawati ya Tsh milioni 1 na kiwanda cha Asas Dairies leo
Wanafunzi  wakifurahia maziwa  ya Asas leo

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages