Rais Uhuru Kenyatta pia ameseama kuwa bendera zitapepershwa nusu mlingoti kwa heshima ya waliopoteza maisha yao katika mashambulizi hayo ambapo watu 67 wameuawa ikiwemo wanajeshi kadhaa wa usalama, ingawa kuna hofu kuwa idadi ya waliofariki huenda ikaongezeka.
Hizi ni picha kumi zikionyesha uzuri wa Westgate mall kabla haijavamiwa na kuharibiwa siku ya jumamosi tarehe 21.