Kwenye youtube kuna video ambayo inamuonesha wazi kabisa Rihanna akimpiga shabiki na microphone yake baada ya shabiki kumshika mkono na kuung’ang’ania akiwa kwenye show. Rihanna ailionekana akienda kwa mashabiki wakati akiperform ndani ya LG Arena huko Birmingham kabla shabiki hajamng’ang’ania mkono Rihanna. Msanii huyo mwenye miaka 25 alimshambulia shabiki huyo alafu akaondoka zake. Rihanna ajaomba msamaha kufuatia tukio na akaandika kwenye instagram kwamba alifanya hivyo kwa maana anayoijua yeye. Akaongeza Yule asingeniachia” tukio hilo lilitokea mbele ya umati amabo ulikuwa umewekewa kizuizi. Kutokana na ripoti inasemekana kwamba Rihanna alimpiga shabiki huyo kwenye uso, ingawa kwenye video haijaonekana vizuri alimpiga wapi. Kwa sasa Rihanna yuko kwenye Tour yake ya Diamonds huko UK na show inayofuatia itafanyika Sunderland..
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Friday, June 21, 2013

Home
Unlabelled
RIHANNA AMPIGA SHABIKI NA MICROPHONE UINGEREZA
RIHANNA AMPIGA SHABIKI NA MICROPHONE UINGEREZA
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.