MAANDAMANO YAKUPINGA NAULIYAENDELEA NCHINI BRAZIL - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, June 21, 2013

MAANDAMANO YAKUPINGA NAULIYAENDELEA NCHINI BRAZIL

Maandamano ya kupinga kupanda kwa nauli ya mabasi ,ufisadi na gharama ya kuandaa michuano ya kombe la dunia nchini Brazil sasa yameenea hadi takriban miji mia moja nchini humo.
Katika maeneo mengi, maandamano hayo yametibuka na kuwa ghasia ukiwemo mji wa Rio De Jeneiro ambapo waandamanaji waliwarushia mawe polisi, huku maafisa hao nao wakijibu kwa kurusha mabomu ya kutoa machozi.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages