WAKIWA PAMOJA NA WAKUFUNZI WA CHUO HICHO |
A |
Wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha, aliye simama katikati ni NELSON AYO kutoka classic mcs in town wakipatikana katika chuo hicho |
nelsoni ayo mtangazaji wa A.J.T.C FM na ni CO wa classic mcs kutoka chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha |
classic mcs katika pozi na rais wa chuo GEORGE SILANGE |
baadhi ya wanafunzi wa uandishi wa habari na utangazaji arusha wakifutilia zoezi zima la kuapishwa kwa viongozi wao |
Wakwanza kulia ni Mmiliki wa NGELANGELANEWS.BLOGSPOT.COM, BENEDICT NGELANGELA, aikwa na JULIANA NGELEJA katikati ambaye ni makamu wa rais pamoja na makamu wa raisi wa awamu iliyo pita. |