| kushoto ni rais wa chuo cha A.J.T.C GEORGE SILANGE katikati ni msemaji wa serikali ya wanafunzi GOODWILL LINUS pamoja na makamu wa raisi JULIANA NGELEJA wakiingia ukumbi wa chuo. |
| wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha A.J.T.C wakisubiri kuapishwa kwa viongozi wa serikali ya wanafunzi. |
| hawa ni baadhi ya wakufunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha, kushoto ni LUCAS MODAHA, katikati ni ELIHURUMA CHAO na ANDREA NGOBOLE. |
| mawaziri wa serikali ya wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha |
| raisi wa chuo hicho GEORGE SILANGE akila kiapo cha kuwa raisi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha. |
| makamu wa rais JULIANA NGELEJA akila kiapo. |
| afisa mahusiano GOODWILL LINUSI akiapa |
| katibu wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha ISACK MACHA akiapa |
| mkufunzi wa chuo chaa uandishi wa habari na utangazaji arusha LUKASI MODAHA akiwaasa viongozi wa chuo hiCHO. |