wauguzi mjini Iringa wakiwa katika
maandamano hivi karibuni
..................................................
Na Riziki Mgaya Makete
Kutolipwa mishahara kwa wakati kumekuwa ni moja ya changamoto katika sekta ya afya kwani kucheleweshwa kwa mishahara na malipo sitahiki kunasababisha baadhi ya watumishi katika secta hiyo kutofanya kazi kwa kujituma na kwakujitolea .
Wakisoma risara katika siku ya wauguzi na wakunga kwa mgeni rasimi wauguzi hao wamesema kuwa kumekuwa na mataizo mengi husasani ucheleweshji wa mshahara na malipo mengine sitahiki ikiwemo malipo ya likizo na muda wa ziada
Aidha wauguzi hao waliongeza kuwa baadhi ya wauuguzi wanaingia katika taaluma hiyo kwa kugushi vyeti na pia wamekuwa wakiharibu kazi na jamii kuwafilikia tofauti wauguzi na kuona kama kunaudui kati yao na wagonjwa jambo ambalo wauguzi wengi wamelipinga vikali na kuitaka serikali iwe makini wakati wa utoaji wa ajira ilikulinda na kuwakamata wanaoingilia taaluma hiyo bila elimu .
Nae mgeni rasmi wa siku hiyo ya wauuguzi kaimu mkurugenzi wilya ya makete Jakobo Mehena amema kuwa kumekuwa na matatizo mengi kqwa watumishi was sekta ya afya wilayani hapa kutokana na matatizo yanayo sababishwa na wizara yenyewe lakini baadhi ni tatizo kutoka halimashauri
“napenda kuwahakikishia kuwa nitakwenda kumweleza yote mkurugenzi wa wilaya kuhusiana mna matatizo bila shaka kwa yale ambayo yapo ndani ya uwezo wake ataweza kuyatatua hususani la mishahra na pamoja uandaaji wa shrehe hizi"
Awali katika maadhimisho hayo mgeni rasimi aliwatembelea wagonjwa na kuwapa mkono kwa kuwapa zawadi mbalimbali wagonjwa hao ili kuonyesha wauguzi kuwa jail na kundelea kuwajali wakti wanapo patiwa huduma katika hospitari hiyo
Siku ya wauguzi imeadhimishwa huku wauuguzi wengi wakilalamikia maisha duni wanayo ishi katika makazi yao huku suala masilahi nalo likitajwa kuwa ni moja kati ya vitu vinavyosababisha wauguzi hao kutotoa huduma nzuri kewa jamii kutokana na kutotimiziwa matatizo yao na waliongeza kuwa baadhi ya wauuguzi weanaingia katika taaluma hiyo kwa kugushi veti na pia wamekuwa wakihalibu kazi na jamii kuwafilikia tofauti wauguzi
Siku ya wauguzi huadhimisha kitaifa kila tarehe 19 mwezi 3 kila mwaka ambapo kitaifa madhimisho hayo yamefanyika jijini dar eesalam huku kiwilaya yakifanyika katika hospitari ya wilaya Makete ambapo mgeni rasimi alikuwa nia kaimu mkurugenzi wilya ya makete Jakobo Mehena huku kaulimbiu ikisema “TUSONGE MBELE TUTAFAKARI TULIKOTOKA
NA francis godwin