Msanii wa bongo fleva h-baba amekanusha alivyo kaliliwa kuwa kwa mwaka mmja wa 2012 amekua ni msanii pekee ambaye amepiga shoo nyingi kuliko msanii mwingine yeyote tanzania, kauli hiyo ambayo alisikika akiitoa wakati akiojiwa na kituo cha redio nchini clouds fm kuwa kwa mwaka 2012 amepiga shoo 620 katika mikoa mbalimbali.msanii huyo amekanusha nakusema kuwa hakuelewa swali ndio maana alijibu akimaanisha ni shoo za miaka mitatu na za mwaka mmoja maana shoo zake zote huwa anahesabu.