ANGALIA PICHA YA GARI LA CRISS BROWN BAADA YA KUPATA AJALI - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, February 11, 2013

ANGALIA PICHA YA GARI LA CRISS BROWN BAADA YA KUPATA AJALI

Wikiendi hii iliyopita msanii Chris Brown alikuwa katika hali sio nzuri ambapo alipata ajali na gari yake ya aina ya PORSCHE .Tukio hilo lilitokea alivyokuwa anawakwepa PAPARAZZI na kukimbilia kwenye gari lake ndipo alipoanza kuondoka ndo akagonga gari ambalo lilikuwa mbele yake.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages