licha ya kupiga show kali lakini mkali huyo aliwakosha mashabiki kutokana na mavazi yake kuwa yatofauti kabisa show hiyo ilifanyika ndani ya ukumbi wa sundown jijini arusha