
msanii wa bongo fleva Naseeb Adul a.k.a diamond platnum amesema kilichomfanya atoe nyimbo mbili kwa mpigo ni kutokoana na watu wengi kuusemea vibaya wimbo wake wa NATAKA KULEWA akidaiwa kuwa aliukopi kutoka kwa wasanii wenzake, huku biti ya nyimbo hiyo kuonekana kulandana na biti ya wimbo wapasha AMEKUA aliomshirikisha tunda man. amesema ameamua kutoa kibao kipya kinachoitwa KESHO ilikuwakata midomo wote wanaisi kua uwezo wake umeisha mpaka kuanza kukopi nyimbo za watu, pia amewashukuru mashabiki wake kwa kuupokea vizuri wimbo wa nataka kulewa pamoja na kesho. pia amewatakia mashabiki wake heri ya mwaka mpya.