MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE AFANYA ZIARA KATIKA JIMBO LAKE. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, December 28, 2012

MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE AFANYA ZIARA KATIKA JIMBO LAKE.

wananchi wakiendeleza shughuli za kila siku pembenzoni mwa ziwa nyasa leo asubuhi.                                                                                                                                                                                                                      mbunge huyojimbo la ludewa ameamua kufanya ziara hiyo kwa lengo la kuwatembelea wapiga kura wake ili kujua baadhi ya matatizo  yanayo wakabili ili iwe rahisi kwake kuyafikisha matatizo hayo sehemu husika, huku akisistiza wananchi kuwa huru kutoa maoni yao kwa lolote lile wanaloona halikwenda sawa kwa miaka yote ya ubunge wake.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages