SMAINA-KUFANYA KAZI NA MESEN/ATANGAZA KUTOA ALBUM YA KIKABILA(KISANDAWE) - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, August 29, 2018

demo-image

SMAINA-KUFANYA KAZI NA MESEN/ATANGAZA KUTOA ALBUM YA KIKABILA(KISANDAWE)

Responsive Ads Here

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Dodoma wilaya ya chemba SMAINA ambaye kwasasa makazi yake ni jijini Dar es Salaam amezungumzia ujio wa Album yake ambayo itaimbwa kikabila mwanzo hadi mwisho.
NGELANEWS.+SMAINA

Kupitia kipindi cha micharazo Time kutoka 98.4 Dodoma fm radio, Smaina amesema amebakiza nyimbo mbili tu kukamilisha album hiyo ambayo itasikika kwa lugha ya kisandawe na amefanya hivo kwa lengo kutukuza asili aliyo tokea kuwa mzalendo pamoja na kuwapa nguvu vijana wa kisandawe wenye vipaji kuamini kuwa mambo yanawezekana.

Wiki iliyo pita samaina aliachia wimbo alio washirikisha wasanii wawili ambao ni Mesen Selekta na Pam D unoitwa Oliva, akizungumza kufanya kazi hiyo amesema amewashirikisha Mesen na Pam D kwasababu ni watu anao waamini lakini ni watu wake wa karibu sana.

@benedict_ngelangela
@TonyDvj
@Dodomafmradio

Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *