Msanii wa muziki aina ya Mduara ambaye asili yake ni Zanzibar A.T Ambaye hivi akribuni ameachia wimbo wake wa Shari amesema anapingana vikali na wasanii wanao lipinga baraza la sanaa la Taifa (BASATA)
Akizungumza kwenye mahojiano na kituo cha radio 98.4 Dodoma fm radio kupitia kipindi cha micharazo Time A.T amesema anashangazwa sana na baadhi ya wasanii ambao wamekuwa wakiipinga Basata katika maswala ya kiutendaji na hiyo inatokana na wasanii wengi kujifanya wajuaji.
A.T ameongeza kuwa wasanii wamekuwa wakifnya makosa yakisanaa na kutengeneza mzuki wa chuki halafu wanaanza kugombana na Basata kitu ambacho anasema sio sahihi na ni vyema wakachunguzwa akili zao.
Pamoja na hayo amesema wasanii wamekuwa wakiingiza elimu yao ya darasani bila kutambua kuwa Muziki unaelimu yake tofauti na haifanani kabisa na masuala ya Biology.
Mengineyo amewaomba wasanii kufuata maadili yakikazi nakuacha kuiga tamaduni za nchi nyingine.
@benedict_ngelangela
Post Top Ad
Thursday, August 30, 2018

NENO LA A.T KWA WASANII WANAOIPINGA BASATA/WAPIMWE AKILI.
Tags
# BURUDANI
Share This
About inngelangelanews.blogspot.com
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
NENO LA A.T KWA WASANII WANAOIPINGA BASATA/WAPIMWE AKILI.
inngelangelanews.blogspot.comAug 30, 2018SMAINA-KUFANYA KAZI NA MESEN/ATANGAZA KUTOA ALBUM YA KIKABILA(KISANDAWE)
inngelangelanews.blogspot.comAug 29, 2018WYSE1 AWATUPA WAPENZI WAKE WA DODOMA/ NINA MPENZI MPYA MAARUFU NCHI NZIMA ANAFAHAMIKA
inngelangelanews.blogspot.comAug 22, 2018
Labels:
BURUDANI