ONESIX - NINA NYIMBO MBILI NA VIDEO MBILI MUDA WOWOTE NAACHIA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, January 19, 2018

ONESIX - NINA NYIMBO MBILI NA VIDEO MBILI MUDA WOWOTE NAACHIA.

Msanii wa muziki kutoka Dododma Onesix ameyaaja malengo yake ya muziki kwa mwaka 2018 ambayo yatamuongoza katika kazi zake za muziki ili afikie mahala ambapo atawafurahisha mashabiki zake.
Image result for msanii onesix

Onesix amesema kwasasa tayri amesharekodi ngoma nyingi ambazo anapanga kuchagua ni ipi itoke kwasasa na ipi isubiri ili ujio wake wakurudi uwe mkubwa na wenye manufaa katika maisha yake ya muziki.

Aidha amesema tayari amesha shoot video mbili ambazo nazenyewe ziko tayari kwaajili yakutoka na sasa alichokifanya nikubadilisha aina ya muziki anao ufanya kulingana na soko la muziki linahitaji kitu gani.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages