
katika tuzo hizo za kanda ya kati wapo ambao waliibuka kidedea na wengine ambao walishindwa kuwika kutokana na kura kushindwa kukamilika.
lakini kwa upande mwingine vipo vipengele ambavyo vimeweza kuwanyanya zaidi washiriki kwa kuibuka washindi kwa mara ya pili mfululizo.
miongoni mwa vipengele hivyo ni pamoja na Kipengele cha muigizaji bora wa kiume na mtangazaji bora wakiume kanda ya kati.
tuzo zote hizo ka mara nyingine tene zimebebwa na wahusika wale wale walio weza kunyakua kwa mwaka juzi.
![]() |
muigizaji bora wakike |
ni Wiston Mkangale mtangazaji bora wakiume na Jacqueline materu muigizaji bora kike kanda ya kati ndio ambao wameweza kuibuka vinara kwa mara ya pili mfulululiza.