
Nillah ameyasema hayo kupitia kipindi cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio nakusema amefurahishwa na matokeo kutokana na aliye chukua tuzo ni mtu wa dodoma na tuzo ni za dodoma kwahiyo anafurah yakutosha zaidi.
pia ameongeza kwa kusema hajakatishwa tamaa na kuto kupata tuzo kwani ataongeza nguvu zaidi kutokana na mziki anao ufanya ni wakitaifa zaidi na kimataifa.
kwasasa nillah anampango wa uachia ngoma mpya na ametangaza kuwa itakuwa ni suprize kwa mashabiki zake.
souce MICHARAZO TIME