
ameyazungumza hayo kupitia kipindi cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio na kusema amesha rekodi wimbo toka mwaka jana na kinachofuata ni kuachia tu si kingine na kwasababu kapata tuzo basi imempa nguvu ya kuachia wimbo huo.
KOKU amesema wimbo huo anatarajia kuachia katikati ya mwezi huu wa tatu, na mipango ya video inakaribia.