
lakini kwa muda sasa takribani miezi mitatu hakuna hata cheche zile za kpromote wimbo huo hhuku mtangazaji wa kipindi cha micharazo time kutoka 98.4 dodoma fm radio ambaye ndo alikuwa wa kwanza kutoa taarifa hizo kwa mara ya kwanza amekuwa akiifuatilia story hiyo lakini hakuna majibu yakuridhisha kuhusu ujio huo.
BIG BORN 90 Kupitia show ya micharazo time ya 98.4 dodoma fm radio amezitaja sababu za kuwa kwanini wimbo huo hauja toka mpaka sasa.
BIG amesema kitu ambacho kinaichelewesha video hiyo ni producer wa nyimbo hiyo ambaye ni kimambo touche mpaka sasa hajamkabidhi wimbo huo huku sababu ikiwa haieleweki, lakini kitu ambacho anakikumbuka BIG ni kwamba alipewa taarifa na producer huyo kuwa anamatatizo.
BIG BOR 90 amewataka mashabiki zake kuwa na subira kwani muda wowote ataachia wimbo huo.
BIG BOR 90 pia yupo kwenye tuzo za nyambago awards akiwa kwenye kipengele cha msanii bora wakiume kanda ya kati na akizungumza na Benedict Ngelangela alichukua fursa hiyo kuomba kura.