
big born 90 ameyasema hayo kupitia kituo cha radio 98.4 dodoma fm radio kipindi cha micharazo time kinacho endeshwa na benedict ngelangela, big amesema anastahili kuchukua tuzo hiyo kwani muziki anao ufanya ni mkubwa na hakuna mwanamuziki anafanya kazi kama yeye na mziki wake ni tofauti.
big born 90 pia amewaomba watanzani waweze kumpigia kura kama mwanamuziki bora wakiume kupitia kipengele cha mwanamuziki bora wakiume.
kupiga kura tembelea www.nyambagoawards.co.tz.