MUIGIZAJI MAGIE REGULI AMWAGIA MASIFA MUIGIZAJI MWENZAKE JACQULINE MATERU, ASEMA HAKUNA KAMA YEYE DODOMA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, February 17, 2016

demo-image

MUIGIZAJI MAGIE REGULI AMWAGIA MASIFA MUIGIZAJI MWENZAKE JACQULINE MATERU, ASEMA HAKUNA KAMA YEYE DODOMA.

Responsive Ads Here
MSANII  na muigizaji wa kike toka dodoma ametoa yake ya moyo na kusema hakuna kama Jacqueline materu
12715438_918194341612576_1280058381287427625_n
mage 






Mage amezungumza hayo wakati akihojiwa kwenye kipindi cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio na muongozaji ambaye ni benedict ngelangela, alipo ulizwa ni msanii gani wa kike unamkubali kwa dodoma alijibu kwa manjonjo kuwa hakuna kama jack materu kwa dodoma kuwa anajua kupitiliza kwenye swala  la uigizaji.

Mage ni muigizaji ambaye anachipukia kwa kasi mkoani dodoma kwa uigizaji kwani pia amechaguliwa kuwa muigizaji bora wa kike msaidizi waweza pia kumpigia kura kumwezesha kushinda tuzo hiyo.

Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *