
linus ameyazungumza hayo wakati akihojiwa na kituo cha radio 98.4 dodoma fm radio kwenye kipindi cha micharazo time na kusema breezy ni msanii ambaye anaadabu, heshima, pia anaipenda kazi yake na kujutuma pia kwa ni vitu ambavyo anavyovipenda toka kwa breezy.
hakuishia hapo linuss amesema kuna siri kubwa kwenye muziki wa breezy kwani ni mjanja na apenda kazi zifike mbali zaidi kwaiyo kufanya kazi nae inaweze kufika mbali zaidi si mtu wa kukumbatia vitu anavyovifanya.
licha ya hayo linuss giggs amewaomba mashabiki wa burudani kanda ya kati kuendelea kumpigia kura kwenye tuzo za nyambogo kama mtayarishaji bora wa video.