Wise one ni msanii kutoka dodoma na mwenye kipaji cha pekee kutokana na sauti yake anayoitumia kwenye nyimbo zake.

hivi karibuni siku ya alhamisi msanii huyo alifanikiwa kuweka historia nyingine kwenye maisha yake kwa kufanikiwa kumaliza kidato cha sita, baadhi ya wasnii wenzake kutoka dodoma waliweza kufika kwenye mahafali ahyo kwa mkupongeza msanii huyo. kundi la rap nation ni miongoni mwa wasanii hao walio hudhuria kwenye mahafali hayo pamoja na watangazaji wa dodoma fm radio.
