Kupita ukurasa wake wafacebook msanii wa bongo fleva Diamond Plutnumz amepost picha pamoja na maelezo yanayo onesha kuwashukuru watanzania kwa kutambua mchango wake kutokana na kazi yake ya sanaa anayo ifanya.
Tuzo iyo ambayo ni yakitabu cha miaka 50 ya muungano wa Tanzania kama ICON wa Taifa, miongoni wa watu maarufu ambao wamekumbukwa humo ni pamoja na marehemu Steven Kanumba, soma alicho andika msanii huyo.
(Jus a minute ago as I was Announced and Honored a Book Trophy of 50 years of the United Republic of Tanzania as an ICON of the NATION. thank you so much my Country for appreciating my Contribution )....
Muda Mchache uliopita nlipotangazwa na kupokea tunzo ya kitabu Cha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania kama ICON wa Taifa...Shukran sana kwa kutambua na kuthamini mchango wangu...
na hawa ndio ma ICON wengine wa Taifa Walio andikwa na kutajwa:
-Bi kidude
-Filbert Bayi
-Adam Shafi -Dr. Salim Ahmed Salim
-Getrude Mongela
-Javed jafferji
-Steven Kanumba
-John da silva
-Happiness Magese
-Juma Aley
-Proffessor issa shivji
-Proffessor Haroub Osman
-Haji Gora