
kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 6 usiku kupitia kipindi cha USIKU MWAKA utamsikia LIVINGSTONE MWANGINGO na MICHAEL ANDREW CHAOPA ambapo hapo utapata fursa nzuri ya kusikia nyimbo taaaaaam za taratibu pamoja na habari mbalimbali zinazo husu mapenzi huku pia msikilizaji akipata nafasi ya kutafuta marafiki wa kuchat nae.
kwa maelezo zaidi na kutambua hawa vijana wanafanya nini jaribu kusikiliza kipindi hicho kila siku usiku kuanzia jumatatu hadi alhamisi saa nne hadi sita usiku.......
USIKOSE..................
Kwa mawasiliono zaidi na watangazaji hao tembelea kurasa zao za facebook
LIVINGSTONE MWANGINGO facebook, Instagram LIVINGSTONE_MWANGINGO
Wakati kwa upande wa KING CHAO Facebook ni MICHAEL ANDREW CHAOPA.