kwenye ukurasa wa facebook mmoja wa mashabiki na wadau wa muziki ambao wanaunda group linajiita team kufunguka wamemfungukia msanii huyo mch zayumba na kusema kuwa huwa sio mwelewa pindi atakapo pata nafasi ya kufanya show kwenye matamasha mbalimbali, huwa hana nidhamu ya muda kabisa hususani anavyo elekezwa kushuka stejini.
haya ni maneno aliyo yaandika bwana CONFRANCISCO LAWRENCE Kwenye ukurasa wake wa facebook.
wa muda umeisha. kwa hili zayumba huwa sio mtii, nakumbuka kuna show moja ya fiesta aligomea kushuka ivoivo wakamuacha akaimba mpaka sauti ikamkauka, matokeo yake akashuka mwenyewe. hii ni aibu.
2. show ya dodoma festival iliyoandaliwa na dodoma fm,jamaa pia alionyesha tabia yake hii mbaya ya kukataa kushuka stejni mpka pale alivoambiwa aende akale atapanda tena. huu ni utovu wa ndhamu.
3. talent day hii ilifanyka makulu katika ukumbi wa MX, pia alfnya vlevle.
ZAYUMBA BADILIKA BROTHER, pia acha kuwadhulumu wanaokusindikiza kwenye shoo zko