EXCLUSIVE TOKA KWA DIRECTOR ERICK BAKAMAZA TOKA DODOMA AELEZEA ALICHO KIFANYA KWENYE VIDEO YA MAYA YA ONE SIX. - NGELANGELA NEWS

Post Top Ad

Saturday, March 21, 2015

demo-image

EXCLUSIVE TOKA KWA DIRECTOR ERICK BAKAMAZA TOKA DODOMA AELEZEA ALICHO KIFANYA KWENYE VIDEO YA MAYA YA ONE SIX.

Responsive Ads Here
11057760_862070857185940_3798330441176840561_n
Kijana mdogo anaye fanya kazi ya kutengeneza na kuelekeza video mkoani dodoma ambaye kwasasa umaarufu wake unazidi kuwa mkubwa kutokana na kazi anazozifanya zenye viwango vya kimataifa
ameelezea njia alizo tumia kuikamilisha video ambayo kwa sasa imefanya poa sana kwenye televisheni za hapa nchini.
kwenye ukurasa wake wa facebook bakamaza ameandika maneno haya ambayo yanaonyesha njia ambazo alipitia kwenye ukamilishaji wa video hiyo ya mwenachemba mpa ONE SIX. pamoja na kuambatanisha picha ambayo ilitumika kwenye video hiyo


4.Shot zoote hazikuhusisha crane,slider,stand wala dolly ni mikono tuu
5.computer iliyo edit ni Packadbell,core i3,ram 4gb hdd 320
6.Softwire ilitumika Sony vegas pro 10 32bit pekeake
7.Colour grading ilifanyika kwa magic bullet looks plugin
8.Video nzima ilirekodiwa siku mbili mfululizo na ikafanyiwa editing siku 2 baadae
NI HAYO TU Maya video ikawa exported out
Kwa ambae hajaiona ipo live kwene hii link
https://www.youtube.com/watch?v=Iak7-Es5qwo
Like Â·  Â· 
Erick bakamaza pia ameweza kutengeneza video ambazo zimeweza kufanya poa zaidi kama video YOUNG 60.
HII NDIO VIDEO TOKA KWA ONE SIX INAITWA MAYA.

Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *