TAZAMA WAZIMBABWE WALIVYO EDIT PICHA YA MUGABE BAADA YA KUANGUKA KWENYE UMATI. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, February 5, 2015

TAZAMA WAZIMBABWE WALIVYO EDIT PICHA YA MUGABE BAADA YA KUANGUKA KWENYE UMATI.

Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe, 90, alianguka mpaka chini mara tu baada ya kumaliza speech aliyokuwa akiitoa kwa wafuasi wake waliokuja kumpokea airport  baada ya safari yake kutoka Ethipia, ijumaa iliyopita.
Mugabe ameanguka baada ya kukosea ngazi alipokuwa akishuka tayari kwa kuingia kwenye gari lake.

Baada ya picha hizo kusambaa, maraia wakaanza kazi yao ya kutengeneza memes zilizozagaa katika mitandao ya kijamii. hizi ni baadhi tu ya picha hizo







Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages