
wise one baada ya kutupia video hiyo aliambatanisha na maneno ya kuwashukuru wanafunzi ambao walikuwa wamehudhuria kwenye tamasha hilo
@@@hebu angalia hii video clip yangu fupi ya show niliiyofanya jana kwenye ukumbi wa shule ya Bihawana....nilifanya kwa kujitolea tu coz ni wanafunz wenzangu but dah wao wenyewe ndo walionilipa stejini mpaka nikashindwa kuzibeba i say...asanten sana na shangwe ilikua suumu sana #domsec@@@
ndipo mtandao huu ulipo amua kumtafuta wise one mwenyewe na kufunguka kuwa show hiyo ilifanyika siku ya ijumaa kwenye ukumbi wa bihawana high school kwenye bonanza lililo shirikisha shule mbalimbali za mkoani dodoma na kupewa jina la ENTER SCHOOL.
wise one kwasasa anatamba na track yake mpya ambayo inaitwa kidogo inayofanya vizuri sana kwenye radio mbalimbali hususani kipndi cha MICHARAZO TIME toka 98.4 dodoma fm Radio.
Na Benedict Ngelangela.