![]() |
one six mdogo wake mez b |
Msanii wa kizazi kipya one six kutoka dodoma ambaye ni mdogo mtu wa marehemu Mez b ambaye amefariki siku ya ijumaa asubuhi katika hospitali rufaa mkoani dodoma.
kwa kuujali mchango wa kaka yake msanii huyo anaetamba na nyimbo ya TAMALA kwasasa, leo asubuhi ameandika ujumbe huu kwenye ukurasa wake wa facebook na baadhi ya wadau, marafiki na ndugu wakatoa comment zao.
@@@r.i.p
kakaang kipenz umeniacha ktk kipindi kigumu sana kwan bila wew leo hii
nisingetambua kipaji chang na pia ni pengo kubwa sana kwa mamaangu na
ndug wote kwa ujumla.@@@@@