TAZAMA PICHA ZA MAZISHI YA MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA CRISTOPHER ALEX MASSAWE, JUMA KASEJA NA BONIFASI PAWASA WAHUDHURIA MSIBANI. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, February 24, 2015

TAZAMA PICHA ZA MAZISHI YA MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA CRISTOPHER ALEX MASSAWE, JUMA KASEJA NA BONIFASI PAWASA WAHUDHURIA MSIBANI.

Kaburi la cristopher alex

viongozi wakanisa wakiweka mataji
juma kaseja na boniface pawasa.
wawakilishi kutoka simba, yanga juma kaseja na boniface pawasa na wengine wakiweka taji kwenye kaburi.
wawakilishi kutoka TFF wakiweka taji.
watoto wa Cristopher alex wakiweka taji kwenye kaburi la baba yao.
mama na baba wa cristopher alex wakiweka taji kwenye kaburi
mtangazaji wa dodoma fm radio akifukia kaburi Mecxson Petit Kisinini
boniface pawassa akihojiwa na waandishi wa habari huku akilia
pawasa akihojiwa na waandishi wa habari
juma kaseja akifanyiwa mahojiano
Add caption

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages