PICHA ZAIDI YA 10 ZA WAFANYAKAZI WA DODOMA FM RADIO WAKIMFARIJI MSANII ONE SIX AMBAE NI MDOGO WAKE MAREHEMU MEZ B(MSIBANI) - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, February 20, 2015

PICHA ZAIDI YA 10 ZA WAFANYAKAZI WA DODOMA FM RADIO WAKIMFARIJI MSANII ONE SIX AMBAE NI MDOGO WAKE MAREHEMU MEZ B(MSIBANI)

r
katikati ni mdogo wake marehemu Mez b(ONE SIX) kulia ni jofrey moses wa dodoma fm    
wafanyakazi wa dodoma fm radio wakimfariji One six pamoja na ndugu zake

wafanyakazi wa dodoma fm radio wakimsikiliza one six 


One six aliyevaa sweta na viatu vyekundu akizungumza na wafanyakazi wa dodoma fm radio

mazungumzo yakiendelea








mdogo wake One six akizungumza kwa uchungu.
wafanyakazi wa dodoma fm radio walipata nafasi ya kwenda kutembelea maeneo ya kisasa mkoani dodoma ambako ndiko kulikuwa nyumbani kwa msanii wa mwanamuziki marehemu MEZ B na kupata nafasi ya kukutana na ndugu wa marehemu Mez B, lakini pia tulipata nafasi ya kukutana na mdogo wake mez b ambaye ni mwanamuziki wa kizazi kipya anae tamba mkoani dodoma One six.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages