BREAKINGNEWZZZZ!!!! MSANII WA BONGO FLEVA MEZ B AFARIKI DUNIA MSIBA UPO KWAO DODOMA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, February 20, 2015

BREAKINGNEWZZZZ!!!! MSANII WA BONGO FLEVA MEZ B AFARIKI DUNIA MSIBA UPO KWAO DODOMA.

http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/field/image/DSCN1059.JPG?itok=7EDJLZMLmsanii aliye kuwa anawakilisha kundi la Chemba squad MEZ B alikuwa amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma inayo fahamika kama GENERAL HOSPITAL  akisumbiliwa na maumivu ya kichwa pamoja na shingo.
habari zilizo tufikia kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema kuwa mez b amefariki hii leo.
kwa habari zaidi endelea kutembelea blog hii kukujuza mwindelezo wa habari hii.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages