CRISS BROWN NA KARRUECHE MAPENZI MOTO TENA? TAZAMA PICHA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, February 18, 2015

CRISS BROWN NA KARRUECHE MAPENZI MOTO TENA? TAZAMA PICHA


Nadhani hii couple inaongoza kwa kuachana na kurudiana sasa! Pamoja na kufikia hatua ya kupondana jukwaani na kwenye mitandao ya kijamii, Chris Brown na Karrueche wako pamoja tena na safari hii wameonekana wakiwa wamemechisha mavazi walipohudhuria show ya mavazi ya Michael Costello's huko New York fashion.


Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages