MAKALA (VIDEO) HARMORAPA UMEPEWA KIKI ZAKULEVYA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, July 17, 2017

MAKALA (VIDEO) HARMORAPA UMEPEWA KIKI ZAKULEVYA.

Hii ni video fupi yenye uchambuzi kuhusu uwepo wa jina harmorapa kwenye muziki kabla hata ya kuwa na hit song kwenye tasnia ya muziki na kuweza kupata mafanikio yakutangazwa zaidi kwenye media mbalimbali pamoja na kuwa mtu aliyepostiwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii kama facebook na instagram.
 
Wapo walio muona kama kituko na wapo walimchukulia kuwa yupo makini na kile anachokifanya zaidi, swali ni kwamba Harmorapa ataendelea kubamba zaidi kwenye tasnia ya muziki au ndo habari yake imekwishnei.
 
Sikiliza makala hii fupi iliyo simuliwa na Selemani Juma na imeandaliwa na Daniel Mihanjo.
 
 
 


Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages