![]() |
young 60 |

HARAKATI ZA KUTEKANA KIMAPENZI.inasemekana kuwa mwanadada huyo alianzisha ukaribu na msanii kwasababu alikuwa ni shabiki wa nyimbo zake na alianza kujisogeza taratibu kama marafiki kisha kumtafutia nafasi ya interview kwenye kituo chake cha radio na kufanikiwa kukutana nae kwa Mara ya kwanza. Hapo ndipo ukaribu wao ulivyoanza na kila mmoja kuanza kudata kwa mwenzake.
TUMEMFUMANIA YOUNG 60.Mtandao huu umemfumania msanii Young 60 kupitia account yake ya Facebook akimpost mwadada huyo mtangazaji nakuandika maneno yaliyodhihirisha uhusiano wakimapenzi nakuomba asiingiliwe na mtu.
MWANADADA AWEKA UKAUZU.Mwandishi wa mtandao huu alipo jaribu kufatilia account ya mwanadada huyo kama nae amejibu mapigo yakumposti msanii majibu yake ni kuwa hakukuwa na chochote juu ya msanii huyo.
SASABU ZA MAHABA.Inasemekana kuwa mwanadada alianza kumpenda msanii huyo kwasababu alisikia Young 60 amesahinishwa kwenye label ya Mesen Selector huku upande wa msanii akaona ni vyema ajiweke kwa mtangazaji Huyo kwaajili yakujipatia Promo ya radioni kila Siku.
KINACHOENDELEA.Mtandao huu ulimtafuta Young 60 kujibu fununu hizi na alikiri kuwa na kitu kama hicho lakini hakuwa tayari kuelezea na bado tunaendelea na jitihada za kumtafuta STELLA KHIM ambaye ndie muhusika wa Picha hilo.