Kuna usemi usemao kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja ila kwa hili walichokifanya Dodoma FM radio imeonesha kuwa hata kama unafanya kitu kimoja na haijalishi kuwa msiwezi kukaa sehemu moja au kualikana kwenye vitu tofauti touti.

Siku ya jumamosi ya tarehe 17 DEC 2016 kituo cha radio 98.4 Dodoma FM radio iliandaa tamasha LA Dodoma festival ambalo huwa maalumu kwa wasanii wa Dodoma zaidi kuonesha vitu vyao, na kituo hicho kilitoa mualiko kwa baadhi ya radio mkoani hapa na kuwapandisha stejini kitu ambacho kilileta utofauti mkubwa.
Sasa miongoni mwa watangazaji kutoka 92.9 A FM Nelly B ametoa yake ya moyoni kuhusiana na tamasha hill, Nelly b kupitia mtandao wa whatsap katika kundi LA Non stop alipost ujumbe uliosomeka hivi.
"""****""Jana Ilikuwa #DodoMafestival Hongera Sana Kwa Waanndaaji Wakuu #DodoMaFm Kwa Kufanikisha Na Kuwapa Burudani Halisi Wakazi Wa DODOMA Na Kuthamini Talent Za Nyumbani List Ya Wasanii Wa Home DodoMa Ilikuwa Ndefu Ndicho Kitu Ambacho Imekuwa PouWA.... Ukiachana Na Changamoto..... Hongereni Saana Waanndaaji ......Pia Thanks Kwa Mualiko......
Sema Meneja Ngela Hukunipa Mualiko wa Kuperform Kama Msaniii Haa Haa Haaa?? ( Joke).....
Pia Hongera Kwa Baadhi ya Wasanii Walifanya Vizuri ....Ila....Nasiii Kwa Sisi Wasanii Tunao Chipukia Inatakiwa Tuwe Na Nidhamu Ya #Kazi #Stage And #Audience&ViewsWetu...
Sema Meneja Ngela Hukunipa Mualiko wa Kuperform Kama Msaniii Haa Haa Haaa?? ( Joke).....
Pia Hongera Kwa Baadhi ya Wasanii Walifanya Vizuri ....Ila....Nasiii Kwa Sisi Wasanii Tunao Chipukia Inatakiwa Tuwe Na Nidhamu Ya #Kazi #Stage And #Audience&ViewsWetu...
Hongereni Waanndaaji #DodoMaFm Bless Up Kwa Kuukuza Talent.
Thanks Kwa Mualiko.""""*****
Thanks Kwa Mualiko.""""*****