Timu ya mpira wa miguu wanawake mkoani Dodoma itakayo wakilisha ligi LA wanawake mkonia Dodoma Bao Bao Queens kwasasa imejipanga vizuri kwa mashindano hayo na inaendelea na mazoezi pamoja na mechi za kujipima ubavu.
Meneja wa timu hiyo Matereka Junior ametoa taarifa kupitia mitandao ya kijamii nakuandika.
Baobab Queens... wakati TFF ikiutangaza uwanja wa jamhuri dom kama kituo kimojawapo cha ligi kuu soka wanawake..
Timu yako mwakilishi wa dom katika mikoa 9 iliyochaguliwa kucheza ligi kuu inaendelea kujifua kambini Nane8 na leo inajipima uwezo dhid ya Nzuguni Queens pale Nzuguni.
Sapoti yako mwanaDom inatakiwa kwa timu hii.
@HabariNaMawasiliano.
Na Benedict Ngelangela