PICHA LINAANZA HIVI..........
Kwa jina aliitwa LUIZA BERNAD anajikuta katika wakati m gumu baada ya kukubali kuitumikia tena nchi yake baada ya kusikia kuna watu wachochea ugomvi wa kidini na kisiasa ili kuleta vita katika nchi yake ili kuiokoa nchi yake na kuwakamata waalifu wote wanaohusika na mipango hiyo.
kazi hii ya mwisho inamfanya apoteze watu wake muhimu muhimu na kuaribu muelekeo wa maisha yake na kuhukumiwa kifungo cha maisha.
NINI KITAMKUTA BWN LUIZA.......??????????
ukitaka kuipata simulizi hii na ukaisoma kiundani zaidi
wasiliana kwa namba 0656994884
................................lulu2hamza@gmail.com
IMETUNGWA NA LULU HAMZA.